Kidokezo cha Afya
Upanuzi wa Huduma za Vipimo vya Maabara Chamazi Mfenesini
Zango Zaidi Hospital imeboresha maabara yake kwa kuweka mitambo ya kisasa ya vipimo vya damu na homa mbalimbali. Wananchi wa Chamazi na maeneo jirani sasa wanaweza kupata majibu ya haraka na ya kuaminika muda wowote.
